Safari kwa mtazamo wa wanachuoni wengi


Swali: Mtu anayetoka ar-Riyaadh kwenda al-Madiynah[1] anazingatiwa ni msafiri awezaye kukusanya na kufupisha swalah?

Jibu: Ndio. Wanachuoni wengi wanaonelea kwamba safari ni ile yenye umbali usiopungua 80 km.

[1] Takriban 837 km (google map) 

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (04) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/431/431.mp3
  • Imechapishwa: 07/07/2018
  • taaliki: Firqatunnajia.com