Adhabu ya mashoga imekuwa ni kuuawa kwa hali yoyote ile kwa sababu kitendo hichi ni kichafu mno na haiwezekani kujiepusha nacho. Tofauti na uzinzi. Kufanya uzinzi na wanawake ni jambo ambalo mtu anaweza kujiepusha nalo kwa kuwatenga wanawake mbali na wanaume. Lakini wanaume wao kwa wao na wavulana wao kwa wao ni vigumu kuwatenganisha mbalimbali. Kwa mfano hauwezi ukawaambia wavulana wawili ambao wamezowea kutembelea wote wawili watengane. Lakini ukimpata mwanaume anatembea na msichana unaweza ukawatenganisha. Kwa ajili hiyo ilipokuwa haiwezekani kuliepuka na ikawa ni kitendo kichafu sana ndipo hekima ikawa ni yenye kupelekea kuuawa kwa yule mwenye kufanya na yule mwenye kufanyiwa.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=DibjaayIHNI
  • Imechapishwa: 04/11/2018