Sababu tatu zinazofaa kuwa na mbwa


Swali: Ni ipi hukumu ya kufuga mbwa pasi na haja?

Jibu: Ni haramu. Haijuzu kuwa na mbwa isipokuwa kwa ajili ya mambo matatu:

1- Mbwa ya uchungaji.

2- Mbwa ya kuelekeza.

3- Mbwa ya mawindo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (21) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/1434-08-14.mp3
  • Imechapishwa: 22/05/2018