Ruhusa kwa wanandoa kujamiiana safarini


Swali: Kafara inamlazimu msafiri akimwingilia mke wake katika hali ya safari katika mwezi wa Ramadhaan?

Jibu: Hapana wakiwa ni wasafiri. Mume na mke wote wawili wakiwa ni wasafiri mume ana haki ya kumjamii mke wake. Ni kama ambavo inafaa kwao kula na kunywa. Ambaye amewaruhusu kula na kunywa amewaruhusu pia kufanya jimaa. Ama mke akiwa ni msafiri na mume akawa sio msafiri haifai kwake kumjamii.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdil-´Aziyz bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa ad-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/3769/%D8%AD%D9%83%D9%85-%D8%A7%D9%84%D8%AC%D9%85%D8%A7%D8%B9-%D9%84%D8%B2%D9%88%D8%AC%D9%8A%D9%86-%D9%85%D8%B3%D8%A7%D9%81%D8%B1%D9%8A%D9%86-%D8%A8%D9%86%D9%87%D8%A7%D8%B1-%D8%B1%D9%85%D8%B6%D8%A7%D9%86
  • Imechapishwa: 08/04/2020