Swali: Baadhi wanasema kuwa Ruduud za wanachuoni zinasababisha kufarikanisha Ummah…

Jibu: Ndio, tunafarikanisha. Sisi tunajifarikisha na watu wa Bid´ah na wapotevu. Hatutaki kuwa na umoja nao. Hili halina shaka. Hatuwi na umoja katika upotevu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%201%20-%2011%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2017