Masjid ´Aaishah Mombasa

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Salaf180496 @Salaf180496: Assalaam 'alaykum,je inafaa kufanya adhkaar baada ya swalah ya faradhi nyumbani?
Salaf181196 Asalam alaykum warhmatullahi wabatakatuh. Je inaswihi kuomba duaa kwa lugha nyingine mbali na kiarabu ndani ya swala za sunnah?
Salaf161270 Alhamdulillah
Salaf181657 Asalam alykum ni ipi hukmu ya mwenye kuacha swala
Salaf181675 Assalam aleikum
Yafaa kushuka na magoti wakati wa kuswali
Salaf181899 Assalamu alaykum warahmatullah naeza pata audio za kitaab sharh shuruutwi swalaa zote
Salaf182247 Asalm aleikum warahmatullah wabarakatuh
Salaf182247 Nauliza hii adhkar je ni sahihi ukileta asubuhi na jioni, LaailahaIllaAllah wahdahu lasharikalahu lahul mulk walahul alhamdu wahua alhay'ulladhi layam
Salaf182247 Kwamba Allah katika siku ile atakusamehe dhambi kumi zenye kuangamiza na kukuinua daraja kumi na kuepushwa na shetani na ukitenda dhambi haitoporomosh
Salaf180190 Asalaam aleykum.. nauliza mwanamke akitumia dawa za uzazi. akawa na damu ya hedhi kwa mda mrefu isiokua kawaida ya ada yake. je ataswali?
Salaf182506 Mada ya darsa ya leo ni nini
Salaf178696 saumu ya arafa
Salaf173968 Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuh. Ningependa kuunganishwa kwenye group ya masjid aisha Mombasa. Number yangu 0714339622. Shukran
Salaf182478 Asalaam aleykuum warahmatullah wabaarakatuh naomba kuunganishwa group la masjid Aisha mombasa
Salaf182478 Naomba kuunganishwa group la masjid Aisha mombasa kwa namba hii
0719857700
Salaf183414 H.i,k
Salaf184211 Namna gani inaswaliwa swala ya istikharaaa
Salaf177187 Kujibidiisha katika ibadat
Salaf177187 Ibada
Salaf182776 Sheikh ukipitwa Na baadiya ya dhuhr ukatoka waeza lipa vipi
Salaf187176 Hotuba nzuri kweli seif . kutoka maeneo ya kapenguria
Salaf187360 Muda wa darsa tufahamishe
Salaf176358 Assalam Alaykum
Salaf176358 Ikiwa maamuma ni mwanamke mmoja tu. Akae kulia au kushoto au kati hapo nyuma ya Imam ?
Salaf187752 السلام عليكم ورحمة الله ا nikatika masaail ya fiqhi, mtu anapomuendea mkewe katika jimai, alafu akaoga, na baadae amrudie na man
Salaf187752 nakusudia kumrudia mkeo katika jimai baada ya kuoga mara ya kwanza na manii yasitoke utaoga tena?
Salaf188267 Assalaam Alaykum warahmatullah wabarakatuh, Je kufuga kobe ni haramu?
Salaf188251 A,alaykum nina swali jee kila mwanadamu ana jini nakama ana jini jee jini anajukumu gankatika mwili wa mwanadamu
Salaf188362 TUNA WAPATA VIZURI EASTLEIGH NAIROBI AL HAMDU LILLAAH جزاكم الله خيرا
Idadi ya watu: 0
Salaf187955:
Kliki hapa

radio

Masjid ´Aaishah Mombasa