Markaz Imaam ash-Shaafi´iy Mombasa

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Salaf167875 Assalam aleykum warahmatullaah wabarakatuh
Salaf168510 Allah akuhifadhi sheikh kassim... nakuelewa vizuri.. from kuwait.
Salaf167883 شيخنا أبو الفضل حفظه الله و رعاه
Salaf168684 Asalamu aleykum warahmatullahi wabarakatu
Salaf168684 Darsa bado haijaanza?
Salaf161263 sauti imekatika
Salaf165620 Tunaomba udhuru kidogo stima imekata tunafanya mpango in shaa Allah
Salaf168684 In shaa Allah. Ndio twashangaa imekataa ghafla
Salaf161263 sawa twasubiri kwa hamu...
Salaf165186 tusaide yaa aba ahmad
Salaf165620 Naaam ikhwa ikotayari
Salaf161263 nam twawapata sasa shukran
Salaf165620 Alhamdulillahi@Salaf161263:
Abuu Idriis Asalam Aleykum warahmatullah wabarakatuh
Abuu Idriis Nampata vzr sheikh wetu Abul Fadhli kutoka Tana River Allah amhifadhi
Salaf168702 Alhamdulillah nawapata safi kabsa
Salaf165620
Abuu Idriis
Asalam Aleykum warahmatullah wabarakatuh
Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatuh Alhmdulillahi,Masha Allah yaa aba idriis@Abuu Idriis:
Salaf168035 Akhy Abu Ahmad shafii link Ina katakata sanaa hatusikii full Darsa ni mm ndugu yenu Abu mujahid
Salaf168684 Abu mjahid labda network kwako Ina shida bt sisi twaskiza kwa uzuri.. Abu Amar Abu khawla
Salaf162851 Bifa playtu ikikata saa nyingine inajipause hata kwangu pia
Salaf168708 System haiko sawa @Salaf162851:
Salaf168035 Mm nikipiga play yarudi nyuma kila massa sijui shida kwangu tu .Abu mujahid
Salaf165620 Kwangu mimi iko sawa tatizo network yako ndugu Abu mujahid na ikhwa wengine tutizame network sehemu tuliopo@Salaf168035:
Salaf165620 Network yako haiko sawa@Salaf168035: barakallahu fika
Salaf165620 Masha Allah@Salaf168684: Abu khawla Allah akubarik
Salaf161263 kwa wale ambao inaplay na kujirudurudi, refresh page au toka ndani uingie upya kisha upla
Salaf169515 Darasa inaendelea ama imekwisha naona kimyah tu
Salaf169093 Akhi wa Citeureup nitafte Tafadhali +6283808927454
Salaf168232 السلام عليكم ورحمة الله وبركاته يا إخواني الكرام
Idadi ya watu: 0
Kliki hapa

Markaz Imaam ash-Shaafi´iy Mombasa

Markaz Imaam ash-Shaafi´iy Mombasa