Swali: Wakati wa kujumuisha Swalah ya Maghrib na ´Ishaa ni lini mtu ataswali Sunnah za Rawaatib ya Maghrib na ´Ishaa?

Jibu: Baada ya ´Ishaa. Utaziswali moja kwa moja baada ya ´Ishaa. Hata Qiyaam-ul-Layl na Witr anaweza kuziswali baada ya ´Ishaa hata kama itakuwa ni katika wakati wa Maghrib

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: SharhZaad-ul-Ma´aad (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-4-23.mp3
  • Imechapishwa: 09/11/2014