Rangi ya kucha ni lazima kuondoshwa wakati wa kutawadha


Swali: Ni lazima kwa mwanamke kuondosha rangi ya kucha wakati wa kutawadha?

Jibu: Ni jambo la kilazima. Ni lazima kuiondosha wakati wa kutaka kutawadha. Vinginevyo wudhuu´ wake hautosihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 21/11/2020