Rak´ah nne za sunnah mchana kwa Tasliym moja


Swali: Kuna baadhi ya watu wanaoswali baada ya ijumaa Rak´ah nne kwa Tasliym moja. Je, kitendo chao hichi kinakubalika Kishari´ah?

Jibu: Jana tulisema kwamba mchana inafaa kwa mtu kuswali [swalah za] sunnah zenye Rak´ah nne kwa Tasliym moja. Lakini lililo bora zaidi ni mtu aziachanishe mara mbili kwa Tasliym.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (13) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdah%20Fiqh-26-10-1434.mp3
  • Imechapishwa: 22/10/2017