Swali: Ni ipi hukumu ya kudumu kwa kuswali Naafilah ya Dhuhr Rakaa nne kabla yake na nne baada yake?
Jibu: Atayeswali kabla ya Dhuhr Rakaa nne Allaah Atamjengea nyumba Peponi. Akidumu kwa kuziswali ni ziada ya kheri.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (06) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1430-8-5.mp3
- Imechapishwa: 10/11/2014