Rak´ah nne za Sunnah kabla ya Dhuhr na baada yake

Swali: Ni ipi hukumu ya kudumu kwa kuswali swalah ya sunnah ya Dhuhr Rak´ah nne kabla yake na nne baada yake?

Jibu: Atayeswali kabla ya Dhuhr Rak´ah nne Allaah Atamjengea nyumba Peponi. Akidumu kwa kuziswali ni ziada ya kheri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (06) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-8-5.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014