Redio live namba 08

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Ndugu4268: aliyeuwa msalabani ni nani

Ndugu44779: Kwa wale watakaokuwa na maswali yanayohusiana na mada yatajibiwa in sha Allaah

Ndugu44779: Maswali

Ndugu51691: assalam alykum

Ndugu51691: nilikua nataka kujua hii dalili ya kuifata sutra kwa kutembea imepatikana wapi maana hakuna swahaba alietembea wala mtume mwenyewe sasa sisi tunafanya haya kwa kukop kwa nani au kwa vile omar alimsogeza mtu aelekeembele wakati anaswali ndo tunafanya yale kwa dalili ile ama?

Ndugu55645: Darsa imekwisha

Ndugu55815: Humeid moshi

Ndugu58246: Redio hazifanyi shida ipo wapi ?

Total users: 0
Customize

radio

Live Radio dars 08


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio yetu ya live/mubashara. Hii ni Redio namba 08.

Tanbihi! Hapa Redio itakuwa ikicheza katika zile nyakati za ratiba ya darsa ambazo zimetangazwa mbele ya tovuti yetu. Pindipo Redio itakuwa haichezi basi ni kwa sababu ima darsa ya wakati huo imeahirishwa kwa sababu ya dharurah au kuna tatizo la kimitambo. Lakini kumbuka ili uweze kusikiliza Redio online ni lazima uwe na internet. Jengine pia hakikisha unafuatilia darsa wakati muafaka wa hiyo nchi inayorusha darsa na usiwe umeingia wakati ambao sio. Kwa usumbufu wowote wasiliana na sisi kupitia hapo juu “wasiliana nasi”.

Ndugu zenu;

Firqatunnajia.com