Redio live namba 07

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Ndugu78104: Mbona haiplay

Ndugu78157: Haina saut akhui

Ndugu78192: بارك الله فيكم

Ndugu78196: بارك الله فيكم

Ndugu78161: Twawapata vzr kutoka Kanamai Kenya

Ndugu78194: vilevile eldoret kenya twawapata vizuri

Ndugu78157: Tunawapata vzr sana kutoka emirate

Ndugu78199: Assalaam Alaykum warrahatu ALLAHI wabaraktuhu huku kwetu Nachingwea tunawapata ila inakata kata sana

Ndugu78161: Allah ailinde website ya Firqatunnajia.com na awalipe wasimamizi Wake na maduaat zake wote

Ndugu78161: Ndugu78199 jaribu kutoka uingie tena (refresh)

Ndugu78199: INSHA LLAH

Ndugu78199: Naam saiz naipata vizuri Sana MAA SHAA LLAH

Ndugu78374: Mashaa Allah tunawapata vzr kutoka morogoro

Ndugu78211: Jazaakallah khayra masheikh zetu Allah awape muda mrefu wa kuishi

Ndugu78407: Maa shaa Allah

Ndugu78407: Kutoka Tunduru Ruvuma, Tanzania

Ndugu78407: Nawapata vzr

Ndugu78423: Tunawapata vizur kutoka babati

Ndugu78157: Ingewekwa mjadala ingekua vzr zaid.

Ndugu78157: ALlaah awahifadh mashekh zetu wote wa ahlus sunnah

Ndugu78410: Allah akuhifadhi yaa shaykhanaa uhibbuka lillah abal fadhwil

Ndugu78157: Mbona imekata!?

Ndugu78157: Shekh abdaLlaah humeyd aLlaah akubaarik umefkisha ujumbe mzito kwa waliohudhuria

Ndugu78587: Assalm alaykum yaa akhiy naweza kudanlod nkapata mada you're?

Ndugu78520: Al hamdulillah kutoka gairo morogoro twawapata Allah akuhifadhini nyote

Ndugu78675: Jazakallahu khayran, Allah awahifadhi mashaykh wetu wa kisunnah

Ndugu78682: allah awahifadhi

Ndugu78741: 0673833164

Ndugu79051: daura ya abulfadhwli inaendelea sasahivi au vp

Ndugu79689: Tunawapata vizuri Tundur ruvuma

Total users: 0
Customize

radio

Live Radio dars 07


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio yetu ya live/mubashara. Hii ni Redio namba 07.

Tanbihi! Hapa Redio itakuwa ikicheza katika zile nyakati za ratiba ya darsa ambazo zimetangazwa mbele ya tovuti yetu. Pindipo Redio itakuwa haichezi basi ni kwa sababu ima darsa ya wakati huo imeahirishwa kwa sababu ya dharurah au kuna tatizo la kimitambo. Lakini kumbuka ili uweze kusikiliza Redio online ni lazima uwe na internet. Jengine pia hakikisha unafuatilia darsa wakati muafaka wa hiyo nchi inayorusha darsa na usiwe umeingia wakati ambao sio. Kwa usumbufu wowote wasiliana na sisi kupitia hapo juu “wasiliana nasi”.

Ndugu zenu;

Firqatunnajia.com