Redio live namba 06

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Ndugu14247: Amiin

Ndugu14286: Asalaamu aleykum, vipi kuhusu mtoto aleyezaliwa katika uzinifu, Upewaji matunzo Na Huyu baba hukumu Yake ikoje. Allah akulipe kheri.

Ndugu14358: mbona kimyah

Ndugu16393: HIVI KATika suala za sunna mfano tar wehe kweny tashahud (atahiyatu) tunmswalia mtume. Naomba mweny kufahamu anijuze

Ndugu20064: m naomba kuuliza aqida za ibadhi

Ndugu21377: Darsa imeanza

Ndugu21361: Twawapata vzr sana kabisa kama kwamba tunakuoneni

Ndugu21375: Tunawapata vizuri liwale

Ndugu21916: Mbona siwapati

Ndugu22947: Asalam alaykum

Ndugu22947: Mashallah Abu ubayd twakupata vzr kutoka sweden

Ndugu22942: بارك الله فيكم

Abu Hishaam Haashim: Swali

Ndugu22949: Uliza tukipata wasaa yatajubiwa

Abu Hishaam Haashim: Je katika hiyo fadhila za mtoa adhana kwa wale wanaadhin kwa makosa mengi mfano mtu anaadhin kama anaimba je na yeye atapata hii fadhila?

Ndugu22947: Benki zinazojidai ni za kiislamu, ukitaka kwa mfano kununua nyumba wao wanainunua kisha wnakuuzia wewe kwa bei Ziada tofauti Na ile walionunua wao. Je hio sura ni ribaa ? Wao wadai Si riba ni biashara

Ndugu22942: Yanajibiwaa

Ndugu22947: Shukran

Ndugu23701: Ni ipi hukmu ya kufanya siku ya ijumaa kuwa mapumziko?

Ndugu24584: Mbonaa kelele

Ndugu24589: Assalaamu alaykum wa rahmatullahi wa barakaatuhu mbona fujo humu hatuskiy illa fujo

Ndugu24597: Hatarii

Ndugu28987: الحمد لله liwale tuna wapata vizuri ماشاء الله

Ndugu28998: بارك الله فيكم

Ndugu28987: وفيك بارك الله

Ndugu28997: Tunawapata vizuri baarakallah fiykum

Ndugu28982: tunawapat tukiwa unguja

Ndugu28995: Mashaallaah

Ndugu29026: Masha Allah.kagera tunawapata.Allah awahifadhi walim wetu.

Ndugu28996: Jazaakumullahu khayran

Total users: 0
Customize

radio

Live Radio dars 06


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio yetu ya live/mubashara. Hii ni Redio namba 06.

Tanbihi! Hapa Redio itakuwa ikicheza katika zile nyakati za ratiba ya darsa ambazo zimetangazwa mbele ya tovuti yetu. Pindipo Redio itakuwa haichezi basi ni kwa sababu ima darsa ya wakati huo imeahirishwa kwa sababu ya dharurah au kuna tatizo la kimitambo. Lakini kumbuka ili uweze kusikiliza Redio online ni lazima uwe na internet. Jengine pia hakikisha unafuatilia darsa wakati muafaka wa hiyo nchi inayorusha darsa na usiwe umeingia wakati ambao sio. Kwa usumbufu wowote wasiliana na sisi kupitia hapo juu “wasiliana nasi”.

Ndugu zenu;

Firqatunnajia.com