Masjid Mullah Mombasa

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Ndugu1843: السلام عليكم ورحمةالله وبركاته؟ Swali langu ni: Swala imeqimiwa na imam hajafika,alafu MTU mwengine akaingia mihram na kusema stauww taqarabuu,je katika hiyo hali imam akifika anafaa kufanya nini?

Ndugu2056: Assalamu Aleikum

Abuu jurayj: Twawapata vzr pongwe

Ndugu7391: Asalamualaikum.. Kama kutakua na mihadhara mengine ..naomba kujulishwa mapema haswa kukiwa tumetembelewa na ma sheikh kutoka nchi jirani..walbaraka fikum

Ndugu7493: Twawapata vzr pongwe kutoka Europe

Ndugu7498: Assalam a'laykum waraatullahi wabarakaatuh

Ndugu7498: Assalam a'laykum, mnisamehe kama nitakuwa nimeuliza swali nje ya mada, Swali ni hili, je kuna katazo lolote la kisheria kufanya biashara ya mitandao mfano M-PESA tigo-pesa na mfano wake?

Ndugu7520: Kotoka Zanzibar VIP kuhusu baadhi ya maikhwa wanasoma kwenye markazi za kisalafi wanahudhuria darsa za kisalafi lakini manhaji zao hazijulikani hujui MTU yuko wapi mguu ndani mguu nje VIP swala hili

Ndugu7520: Mbona inajirejea

Ndugu7458: Admin kuna tatizo gani tena naona inajirudia rudia

Ndugu7616: Admi mbona hutujibu inajirejea

Ndugu7415: Assalam alykum. Je, ikiwa ndugu kubwa mlezi au mzazi hakatai Quran na sunnah Lakini hakubali salafiya na anasikiza mashekh waliorudiwa . Ni Vipi kuamaliana naye katika mambo ya kidini?

Ndugu7616: Haina raha utaturushia klip yake kwenye group tunatoka online

Ndugu7514: Assalamu aleikum warahmatullah wabarakatuh inakata Kata hatuwapati uzuri kw Huku Dubai

Ndugu7635: Assalam alaykum wa rahmatullahi wa barakaatuhu.

Ndugu7635: Mbona kwangu inastream after few minutes inaacha kustream???

Ndugu7415: Kutoka oman ,imekwama haiendelei mbele.

Ndugu7917: Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh.

Ndugu55329: Najaribu kuwapata ila c

Total users: 0
Customize

radio

Masjid Mullah Mombasa


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Radio yetu ya live/mubashara kutoka Masjid Mullah Mombasa Kenya. Hii ni Redio nambari 03.

Tanbihi! Hapa Redio itakuwa ikicheza katika zile nyakati za ratiba ya darsa ambazo zimetangazwa mbele ya tovuti yetu. Pindipo Redio itakuwa haichezi basi ni kwa sababu ima darsa ya wakati huo imeahirishwa kwa sababu ya dharurah au kuna tatizo la kimitambo. Lakini kumbuka ili uweze kusikiliza Redio online ni lazima uwe na internet. Jengine pia hakikisha unafuatilia darsa wakati muafaka wa hiyo nchi inayorusha darsa na usiwe umeingia wakati ambao sio. Kwa usumbufu wowote wasiliana na sisi kupitia hapo juu “wasiliana nasi”.

Ndugu zenu;

Firqatunnajia.com

2 comments

  1. Assalam alaykum Warahmatullah Wabarakaatuh
    Allaah yubaarik kwa jitahida zenu za kufikisha da’awa kwa mawanda mapana.
    أسل الله الكريم رب العرش العظيم ان يهدينا إلى صراط الرشاد

  2. Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh, ikipatikana redio ya FM itakuwa kheri sana.

    Lakini tunafaidika ولله الحمد و المنة