Masjid Manyema Dodoma

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Ndugu44200: As'salaam Alaykhum wa rahmatullahi wa barakaatuhu Naaam ya Sheikh jeee???inafa kuleta takbiyrah (5)tano kwenye swala ya jeneza?naomba hilo nielekezwe .
Barakallahu fiyk.


Ndugu59502: Asalam alykm

Ndugu59502: Je kwa dodoma mwsho wa kulaa daku n mda gan

Total users: 0
Customize

radio

Masjid Manyema Dodoma


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio yetu ya live/mubashara. Hii ni Redio Masjid Manyema Dodoma.

Tanbihi! Hapa Redio itakuwa ikicheza katika zile nyakati za ratiba ya darsa ambazo zimetangazwa mbele ya tovuti yetu. Pindipo Redio itakuwa haichezi basi ni kwa sababu ima darsa ya wakati huo imeahirishwa kwa sababu ya dharurah au kuna tatizo la kimitambo. Lakini kumbuka ili uweze kusikiliza Redio online ni lazima uwe na internet. Jengine pia hakikisha unafuatilia darsa wakati muafaka wa hiyo nchi inayorusha darsa na usiwe umeingia wakati ambao sio. Kwa usumbufu wowote wasiliana na sisi kupitia hapo juu “wasiliana nasi”.

Ndugu zenu;

Firqatunnajia.com