Masjid Irshaad Ilala

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
This channel is protected. Enter your password:

السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Radio yetu ya live/mubashara kutoka Masjid Irshaad Ilala Dar es Salaam. Hii ni Redio nambari 05.

Tanbihi! Hapa Redio itakuwa ikicheza katika zile nyakati za ratiba ya darsa ambazo zimetangazwa mbele ya tovuti yetu. Pindipo Redio itakuwa haichezi basi ni kwa sababu ima darsa ya wakati huo imeahirishwa kwa sababu ya dharurah au kuna tatizo la kimitambo. Lakini kumbuka ili uweze kusikiliza Redio online ni lazima uwe na internet. Jengine pia hakikisha unafuatilia darsa wakati muafaka wa hiyo nchi inayorusha darsa na usiwe umeingia wakati ambao sio. Kwa usumbufu wowote wasiliana na sisi kupitia hapo juu “wasiliana nasi”.

Ndugu zenu;

Firqatunnajia.com