Masjid al-Ghufayliy Mombasa

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Ndugu6736: kukata nywele yafaa??

Ndugu6961: Assalam alaikum

Ndugu6962: waaleikum salaam

Ndugu7159: Jazzaqallah llah Heyr mnasikika vyema

Ndugu7158: Mashaalah,leo ni mara ya kwanza kufuatilia.Jazaakallahu khair

Ndugu8490: Assalam alaykum

Ndugu8490: Jazaak Allaahu khayra sh Abdallaah Allaah azidi kukuwafikisha na kubariki wakati wako

Ndugu8520: Allah akujaalie uzidi kutupatia elmu uliokua nayo kwani khairukum mantaalamal qur ani waalamahu

Ndugu8520: Nampenda Sana shekh humeid Allah atujaalie tukutane inshaallah

Ndugu8530: Baarakallahu sheik Abdallah humeid nafuatilia sana darsa zako Allah atakulioa kila khery

Ndugu8703: sisikii kitty shekh

Ndugu8703: Alhamdulillah nasikia sasa

Ndugu8708: Tunawapata vizuri

Ndugu8713: Tunawapata vizuri nairobi.....

Ndugu8824: Mie hapa sipati uzuri

Ndugu8907: Asalamu aleikum warahmatullahi na je....lau kama Kaafir alikufa bila ya kufikishiwa Daawah, Atapata adhabu ya Qabr!

Ndugu8960: Assalam alaikum ,na mdomo wafaa kugusa chini ?

Ndugu8997: بارك الله فيكم منكم نستفيد

Ndugu9097: Assalam aleykum Darsa Ipo

Ndugu9125: Asalam Aleikum

Ndugu9125: leo dar saya dhuhuriitakuepo

Ndugu9160: Shukran habib

Ndugu9211: Allah awahifadhi masheikh zetu

Ndugu9450: Barakafik ya sheikh

Ndugu9450: Sauti ya sheikh imenipotea

Ndugu9450: Au darsa imekwisha?

Ndugu9503: Jeneza linaekwa nyuma au mbele wakati wa kusaliwa

Ndugu9784: بارك الله فيكم

Ndugu9789: Yaanza saa ngapi darsa?

Ndugu9808: Salam Aleikum, Darsa imekwisha?

Total users: 0
Customize

radio

Masjid al-Ghufayliy Mombasa


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio yetu ya live/mubashara kutoka Masjid al-Ghufayliy Mombasa Kenya. Hii ni Redio nambari 01.

Tanbihi! Hapa Redio itakuwa ikicheza katika zile nyakati za ratiba ya darsa ambazo zimetangazwa mbele ya tovuti yetu. Pindipo Redio itakuwa haichezi basi ni kwa sababu ima darsa ya wakati huo imeahirishwa kwa sababu ya dharurah au kuna tatizo la kimitambo. Lakini kumbuka ili uweze kusikiliza Redio online ni lazima uwe na internet. Jengine pia hakikisha unafuatilia darsa wakati muafaka wa hiyo nchi inayorusha darsa na usiwe umeingia wakati ambao sio. Kwa usumbufu wowote wasiliana na sisi kupitia hapo juu “wasiliana nasi”.

Ndugu zenu;

Firqatunnajia.com