Masjid ´Aaishah Mombasa

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Ndugu6051: Siskii darsa

Ndugu6177: leo siwapata ikhwaa, inafunguka tofauti kabisa

Ndugu6317: ما شاء الله

Ndugu6359: Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh

Ndugu6359: Maa shaa Allah tunawapata vzur Lindi Tz

Ndugu6476: السلام عليكم ورحمةالله وبركاته

Ndugu6485: Ni ip hukumu ya mwwnye itakidi qur kua ni kiumbe???

Ndugu6492: Ni ip hukumu ya kuoa mwanamke alie kwisha telekezwa na mumewe kwa muda mrefu yan mfano miaka 2 nk.na bado hajapewa taraka??

Ndugu6492: Samahan nimeuliza swal nje na mada husika

Ndugu6551: Sauti haiskiki

Ndugu6766: asalam aleykum

Ndugu6981: Sauti

Ndugu6981: Sauti haisikiki ahe

Ndugu7043: Ikhwaa leo mtandao kwa upande wangu imekuwa ngumu siwapati vilivyo.

Ndugu7046: Mtu akifunguwa kwa maksudi, je akilipaa funga yakee itakubaliwa?

Ndugu7179: Asalam alaykum warahmatullah! masha Allah tunawapata vizuri,machame kilimanjaro

Ndugu7179: Asalam Alaykum warahmatullah, je mtu akiomba kitunguu kwa jirani au chumvi, maduka yamefungwa hana pakupata

Ndugu7287: Asalaam aleykum. Hatuwapat hewan

Ndugu7953: السلام عليكم و رحمة الله و بركاته

Ndugu7953: Leo hamna darsa ya Fajir Masjid Aiysha

Ndugu8120: Aslam aleikum warahmatullah wabarakatuh

Ndugu8120: Leo hamna darsa ya Fajir

Ndugu8130: Aliye na swali aulize

Ndugu8130: Darsa imeisha

Ndugu8210: Wakati Wa Maswali

Ndugu9075: Je inajuzu kufunga siku yajuma mosi ambayo ni arafa

Ndugu9387: Darsa imeisha

Ndugu9787: Wakati Wa Maswali

Ndugu9915: Ukiwa hajj unapunguza swala..

Ndugu10006: Darsa haiskiki

Total users: 0
Customize

radio

Masjid ´Aaishah Mombasa


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio yetu ya live/mubashara kutoka Masjid ´Aaishah Mombasa Kenya. Hii ni Redio nambari 02.

Tanbihi! Hapa Redio itakuwa ikicheza katika zile nyakati za ratiba ya darsa ambazo zimetangazwa mbele ya tovuti yetu. Pindipo Redio itakuwa haichezi basi ni kwa sababu ima darsa ya wakati huo imeahirishwa kwa sababu ya dharurah au kuna tatizo la kimitambo. Lakini kumbuka ili uweze kusikiliza Redio online ni lazima uwe na internet. Jengine pia hakikisha unafuatilia darsa wakati muafaka wa hiyo nchi inayorusha darsa na usiwe umeingia wakati ambao sio. Kwa usumbufu wowote wasiliana na sisi kupitia hapo juu “wasiliana nasi”.

Ndugu zenu;

Firqatunnajia.com