Markaz Pongwe

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Imam suyutwi Ni darsa ya kitabu gani hii?
AbuuMasuud Uhakika wa bida'a ktk dini ni kama mihadhara
Abuu hafswa Mhaadhwara
Ndugu86935 Inakatakata sana
Ndugu86929 @Ndugu86935: pengine ni kwako tu. kwangu mimi nasikia vzr. Jaribu kufresh au toka uingie tena akhi
Ndugu86935 Nimeshindwa inakatakata
Ndugu86929 @Ndugu86935: landa internet yako nyonge (poor)
Ndugu86953 Nipo na 4G Ttcl
Ndugu86956 Mashaa Allaah mm nawapata vzr
Ndugu87205 Assalaam alaykum
Abdulhamid kheir makame ASSALAM ALYKM WARAHMATULLAH WABARAKAATUH
Abdulhamid kheir makame Mm siwapat ikhwa
Ndugu87213 Assalaamu alaykum warahamtullaah wabarakaatuh
Ndugu87213 Naam ikhwaa mbona siwapati hewani? Baaraka llaahu fiykum
ayubu ilomo @Ndugu87213:
ayubu ilomo @Abuu hafswa:we abu hafwsa kibangu upo
Shàbani ngodu Assalaam Alaaykum redio
Shàbani ngodu Me siipat
Abul abbaasi Morogoro Tanzani
Abul abbaasi @Shàbani ngodu:
Abul abbaasi @ayubu ilomo:
Idadi ya watu: 0
Bonya hapa

 Markaz Ibn Taymiyyaah Pongwe


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio yetu ya live/mubashara kutoka Markaz Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah Pongwe. Hii ni Redio nambari 04.

Tanbihi! Hapa Redio itakuwa ikicheza katika zile nyakati za ratiba ya darsa ambazo zimetangazwa mbele ya tovuti yetu. Pindipo Redio itakuwa haichezi basi ni kwa sababu ima darsa ya wakati huo imeahirishwa kwa sababu ya dharurah au kuna tatizo la kimitambo. Lakini kumbuka ili uweze kusikiliza Redio online ni lazima uwe na internet. Jengine pia hakikisha unafuatilia darsa wakati muafaka wa hiyo nchi inayorusha darsa na usiwe umeingia wakati ambao sio. Kwa usumbufu wowote wasiliana na sisi kupitia hapo juu “wasiliana nasi”.

Ndugu zenu;

Firqatunnajia.com