Markaz Imaam ash-Shaafi´iy Mombasa

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Ndugu42484: Shukran twafatilia vizuri huku western kenya

Ndugu42520: Assalamu Alaikum

Ndugu42665: As salam aleykum nilikua naomba kuuliza kama naweza kupata nafasi ya kusoma dini.

Ndugu43659: Assalam aleykum mbona hatupati duruus skuhizi

firqatunnajia: Ikhwa redio ya markaz imaam shaafi mombasa wanatoa darsa zao za live kwenye redio nambari 07. Ingia hapa http://firqatunnajia.com/radios/redio-live-namba-07/ kwa mujibu wa ratiba za darsa na utaweza kusikiliza darsa live.

Ndugu55274: Assalam alaykum

Ndugu55274: Ikhwa hatupati hatuskii darsa

Ndugu55390: As alykm warahmatullahi wabarakatuh

Ndugu64863: Assalam aleikum hatuskii kabisa

Ndugu64864: asalam alykum na6mba kujua nini maana ya answaarusunna

Ndugu65296: Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh ni kwel hatuskii

Ndugu66555: Ni maan ya usalafi

Ndugu66866: Assalaam alaykum naomba kufahamishwa juu ya kutaamaliana na watu wa bidaa

Total users: 0
Customize

radio

Markaz Imaam ash-Shaafi´iy Mombasa


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio yetu ya live/mubashara kutoka Markaz Imaam ash-Shaafi´iy Mombasa Kenya. Hii ni Redio nambari 01.

Tanbihi! Hapa Redio itakuwa ikicheza katika zile nyakati za ratiba ya darsa ambazo zimetangazwa mbele ya tovuti yetu. Pindipo Redio itakuwa haichezi basi ni kwa sababu ima darsa ya wakati huo imeahirishwa kwa sababu ya dharurah au kuna tatizo la kimitambo. Lakini kumbuka ili uweze kusikiliza Redio online ni lazima uwe na internet. Jengine pia hakikisha unafuatilia darsa wakati muafaka wa hiyo nchi inayorusha darsa na usiwe umeingia wakati ambao sio. Kwa usumbufu wowote wasiliana na sisi kupitia hapo juu “wasiliana nasi”.

Ndugu zenu;

Firqatunnajia.com