Redio ya mawaidha


radio

Redio ya mawaidha


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio ya mawaidha ambayo inacheza mawaidha mbalimbali kwa masaa 24 kutoka kwa walinganizi wetu wa Afrika mashariki.

23 comments

 1. Namshukuru Allah kwa kupataa Redio yenyekutupaa faidaa

 2. Asalam Alykum warahmatullah wabarakatuh
  Radio ya mawaidha mbona ipo kimya hatuisikii ikichezwa

 3. Radio nzur saana tunaipata hapa Dodoma kwa uzur kabsa

 4. Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh Nina shida na darsa ya swala hii naweza kupata vipi?

 5. Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh Nina shida na darsa ya hii ya swala hii naweza kupata vipi?

 6. Alhamdulillah

 7. As salaam alaykum warahmatullah wabarakatuh
  Mbona radio ya mawaidha inalia hivyo ni dufu au

 8. Asalam alaikum

 9. Alhamdulilah tunamshukuru Allah kuendelea kupata faida kemkem

 10. Mashaallah
  Tunaomba na shekh kipoozeo na nassor bachu
  Sijui huwa saangapi

 11. Assalaamu alaykum warahmatuLLAAHI wabarakaatuhu
  Mbona leo radio ya mawaidha haisomi?
  BaarakaLLAAHU fiykum.

 12. Assalaamu alaykum warahmatuLLAAHI wabarakaatuhu
  BaarakaLLAAHU fiykum
  Redio ya mawaidha haisomi sijui kwanini?
  BaarakaLLAAHU fiykum.

 13. Asalamu alykum Nipo mtwara pamoja sana

 14. Jazaakumullahu khyran

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*