Radd juu ya kanuni chafu ya kutaka kuwatetea Ahl-ul-Bid´ah


Swali: Maneno yaliyosemwa kwa kuachiwa (mutlaq) ya Ahl-ul-Bid´ah yafasiriwe kwa maneno yao yaliyosemwa kwa kufungwa (muqayyad)?

Jibu: Maneno yaliyosemwa kwa kuachiwa yanafasiriwa kwa maneno yaliyosemwa kwa kufungwa inapokuja katika maandiko ya Qur-aan na Sunnah. Hapa ndipo kunafasiriwa maneno yaliyotajwa kwa kuachiwa kwa maneno yaliyosemwa kwa kufungwa; maneno ya Allaah na Mtume wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=oMoaMLGx4k0
  • Imechapishwa: 26/11/2017