Rabiy´ al-Madkhaliy Na Zayd al-Madkhaliy ni wapambanaji katika njia ya Allaah


Kuhusiana na Zayd al-Madkhaliy na Rabiy´ bin Haadiy, hata kama watu watasema yakusema juu yao lakini msimamo wao unajulikana. Wamesema haki, wameandika haki na kuamrisha haki. Ni katika wanachuoni ambao wanapigana Jihaad katika njia ya Allaah kwa ajili ya kunyanyua neno la Allaah. Ikiwa watu hawa wanawaponda basi ni kwa ajili tu Allaah Anataka wachukue madhambi yao, na madhambi ya wenye kufanya hivo yaongezwe na thawabu zao ziongezwe siku ya Qiyaamah

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=143060
  • Imechapishwa: 08/05/2018