Rabiy´ al-Madkhaliy anamkufurisha as-Suwaydaan?

Swali: Inasemwa kuwa wewe umesema kuwa Twaariq as-Suwaydaan ni zindiki. Je, ni kweli?

Jibu: Hapana, sikusema hivyo. Ninasema tu kuwa ni mpotevu mzushi. Sikusema kuwa ni zindiki. Sikusema hivyo kwa watu ambao ni wapotevu zaidi kuliko yeye. Kama ilivyotangulia kusema hivo.

  • Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (2/213-214)
  • Imechapishwa: 28/07/2020