Raatibah ya Dhuhr ya kabla kuiswali baada ya swalah

Swali: Kuna mtu hakuswali Sunnah ya Rawaatib kabla ya Dhuhr ambapo akaiswali baada ya Dhuhr.

Jibu: Aiswali baada ya Dhuhr. Ilikuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) asipoiswali kabla ya Dhuhr basi anaiswali baada yake. Baada ya Dhuhr aswali Raatibah ya Dhuhr ilio kabla yake na ilio baada yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21714/هل-يشرع-قضاء-السنن-القبلية-بعد-الفرض
  • Imechapishwa: 27/09/2022