Raatibah kamilifu kabla na baada ya Dhuhr


Swali: Je, ni Sunnah kabla ya Dhuhr kuswali Rakaa´ nne na baada yake nne?

Jibu: Ndio bora na kamilifu zaidi; Rakaa´ nne kabla yake na nne baada yake. Hili ndio kamilifu zaidi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (10) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-08-13.mp3
  • Imechapishwa: 09/06/2018