Raafidhwiy Kazini Anadai Uislamu Lakini Haswali

Swali: Nikimnasihi Raafidhwiy kazini na asiitikie na akasema kuwa yeye hafanyi mambo hayo [wanayofanya Shiy´ah wengine ya kikafiri] na ukafika wakati wa swalah na asiswali aamrishwe kuswalii au aachwe na ataamiliwe matangamano ya makafiri?

Jibu: Hapana. Anatakiwa aamrishwe kwa kuwa amedai kuwa ni muislamu. Ni wajibu kumchukia na kumjengea uadui kwa ajili ya Allaah. Anatakiwa kuamrishwa na kuambiwa aswali.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 86
  • Imechapishwa: 14/12/2016