Raafidhwah wako kinyume na Uislamu


Swali: Vipi kuhusu Raafidhwah ambapo umesema kuwa hakuna anayesoma Qur-aan isipokuwa waumini tu?

Jibu: Wao wanajidhihirisha kwa Uislamu na kuudai. Uhakika wa mambo ni kwamba wanaonelea kinyume na hivo.

  • Mhusika: Shaykh Muhammad bin Haadiy al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://mdkhly.com/1395
  • Imechapishwa: 02/12/2017