Raafidhwah Ni Pote Katika Shiy´ah

Swali: Kuna tofauti kati ya Shiy´ah na Raafidhwah?

Jibu: Raafidhwah ni kipote katika Shiy´ah. Shiy´ah wako mapote mbalimbali. Miongoni mwa mapote ya Shiy´ah ni Raafidhwah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (15) http://alfawzan.af.org.sa/node/2058
  • Imechapishwa: 27/04/2017