Qunuut wakati wa majanga


Swali: Ni upi usahihi juu ya maoni yanayosema kufaa kukunuti wakati wa majanga kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakukunuti baada ya Qunuut yake juu ya wale Maswahabah wake waliowaua Maswahabah zake katika kisima cha Ma´uunah?

Jibu: Maoni yanayokataza yanahitaji dalili. Kimsingi ni kutokuweko makatazo mpaka kupatikane dalili.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (21)
  • Imechapishwa: 08/08/2021