Punda akipita mbele ya mswaliji anaharibu swalah


Swali: Je, punda anavunja swalah ya faradhi?

Jibu: Kupita kwa punda kunavunja swalah ya sunnah na ya faradhi. Haya ndio maoni ya sawa. Hapa ni pale ambapo atapita karibu naye na baina yake yeye na huyo punda kuna chini ya dhiraa tatu au baina yake yeye na huyo punda kuna sutrah. Ama akipita mbali haathiri.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (11) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191491#219817
  • Imechapishwa: 09/08/2019