Pongezi za ijumaa hazina msingi wowote

Swali: Hivi sasa watu wengi siku ya ijumaa wanatumiana meseji ”Nawatakia ijumaa yenye baraka (جمعة مباركة)”. Unasemaje juu ya hili?

Jibu: Wamepata njia za mawasiliano ambapo wanaagiziana vitu vilivyowekwa katika Shari´ah na ambavyo havikuwekwa – hawajali.

Swali: Kwa hivyo unamaanisha kuwa meseji hizi hazikuwekwa katika Shari´ah?

Jibu: Hazina msingi.

  • Mhusika: ´Allaamah Swaalih bin Muhammad al-Luhaydaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=kJ942xB4o5M&feature=youtu.be
  • Imechapishwa: 02/03/2019