Picha za kwenye TV zinaingia katika jumla ya uharamu wa picha


Swali: Nimesoma kitabu chako kinachoharamisha picha na hivi sasa kuna kitu nataka kuuliza; kwa vile unafutu juu ya uharamu wa picha hii leo kuna aina nyingine vilevile ya picha ambayo ni ile tunayoshuhudia katika TV na video na kanda nyenginezo za sinema. Picha ya mtu inakuwa kama wanavosema ya hisia na inahifadhika kwa muda mrefu. Ni ipi hukumu ya picha aina hii?

Jibu: Hukumu ya picha inakusanya yale uliyoyataja.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.sahab.net/forums/index.php?app=forums&module=forums&controller=topic&id=141979
  • Imechapishwa: 22/04/2018