Swali: Je, inafaa kuchora sehemu ya uso kama vile mdomo peke yake au macho peke yake?

Jibu: Ndio. Hakika si venginevyo kinachozingatiwa ni kile kichwa.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 31
  • Imechapishwa: 01/07/2022