Swali: Ni ipi hukumu ya kuchukua picha wakati mtu anapobusu miguu ya wazazi na kuiieneza kati ya watu kwa ajili ya kulingania katika kuwatendea wema wazazi?

Jibu: Huku ni kujionyesha na ni kutaka kusikika. Haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (83) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-15-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 12/01/2018