Pesa ambazo mtu amechuma kwa njia ya Bid´ah azifanye nini?


Swali: Mwanamke huyu anauliza afanye nini juu ya pesa alizochuma kwa njia ya Bid´ah?

Jibu: Ajikwamue nazo kwa kuziweka katika mambo ya kijamii au azigawe kwa wahitaji kwa lengo la kujikwamua nazo na si kwa njia ya swadaqah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa' al-Maftuuh fiy Masjid Qubaa' http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17626
  • Imechapishwa: 24/02/2018