Peponi hakuna kufanya ´ibaadah


Swali: Je, Peponi kuna ´ibaadah?

Jibu: Pepo sio nyumba ya ´ibaadah. Ni nyumba ya malipo na neema. Hakuna maamrisho ya ´ibaadah ambazo ni wajibu. Haya ni duniani.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_11.mp3
  • Imechapishwa: 20/06/2018