Peleka swali lako kwenye kamati ya Kibaar-ul-´Ulamaa´


Swali: Mama yangu asili yake ni mfaransa na anaishi na mwanaume wa kikafiri bila ya ndoa. Ameniomba nimpokee rafiki yake huyu wa kiume ambapo nikamkatalia, jambo ambalo linamsonenesha sana. Mama yangu anamwamini Allaah lakini yuko mbali na mambo ya ´ibaadah, kheri na utiifu. Nachelea nikiendelea kumkatalia atajiweka mbali zaidi na Uislamu. Nifanye nini kwa hali hii?

Jibu: Andika swali lako kwenye kamati ya kufutu na litaangaliwa – Allaah akitaka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (99) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86-10-07-1440%D9%87%D9%80_0.mp3
  • Imechapishwa: 20/07/2019