Swali: Ni ipi hukumu mwenye kuhiji akifika Muzdalifah kabla ya adhaana ya ´Ishaa? Je, acheleweshe Maghrib mpaka wakati wa ´Ishaa…

Jibu: Hapana, hapana. Pale tu atapofika aswali hata kama haujaingia wakati wa ´Ishaa. Hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (22) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdatul-26-3-1435.mp3
  • Imechapishwa: 17/03/2020