Paka zinazopatikana za kuuza

Swali: Wakati mwingine napata pata wenye thamani wakiwa barabarani. Je, inafaa kwangu kuwachukua?

Jibu: Haijuzu kuwauza paka, ni mamoja ni wenye thamani au nafuu. Haijuzu kuwauza paka na mbwa. Ni haramu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
  • Imechapishwa: 05/03/2022