Swali: Ni Sunnah na imependekezwa kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu?

Jibu: Ni Sunnah ikiwa ni kwa mtindo ule wa nywele za Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Lakini itakuwa sio Sunnah ikiwa sio kwa mtindo ule wa nywele za Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (66) http://alfawzan.af.org.sa/node/16524
  • Imechapishwa: 13/08/2017