Swali: Ni ipi hukumu ya kunyoa nywele za chini ya kidevu? Je, zinazingatiwa ni katika ndevu?

Jibu: Nywele za chini ya kidevu ni katika ndevu.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (22)
  • Imechapishwa: 24/10/2021