Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke kupaka rangi nyusi zake na rangi ya nywele zake?

Jibu: Haijuzu. Mwanamke asiziharibu nyusi zake kwa kitu; asizipake rangi, asizichonge na kadhalika. Nyusi zinaachwa kama zilivyoumbwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (25) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ayatquran-26-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 20/06/2020