Nyumba na gari yenye kuungua inatokana na pesa haramu?


Swali: Watu wasiokuwa na elimu wamezowea yule ambaye gari yake inaungua au nyumba yake ikaanguka wanasema kwamba mtu huyo alikuwa na mali ya haramu na kwamba mali ya halali haiungui na haifanyi nyumba kuanguka. Je, unaweza kutuwekea wazi hili?

Jibu: Ni nani mwenye kusema hivi? Nyumba ya halali pia inaweza kufanya nyumba kuanguka kama ambavyo gari pia inaweza kuungua hata inatokamana na pesa ya halali.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (64) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%2019-03-1438H.mp3%2001.mp3
  • Imechapishwa: 09/10/2017