Nyumba katika miji miwili tofauti


Swali: Kuna mtu ana nyumba mbili katika miji miwili tofauti. Je, afupishe swalah wakati anaposafiri kutoka katika moja kwenda kwenye nyingine?

Jibu: Ikiwa umbali ulio kati yazo unajuzisha kufupisha swalah, bi maana kuna 80 km na zaidi ya hapo, basi inafaa kwake kufupisha swalah na kukusanya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa' al-Maftuuh fiy Masjid Qubaa' http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17626
  • Imechapishwa: 20/02/2018