Nyama ya mamba na nyoka


Swali: Je, wanyama wote wa baharini, kama mamba na nyoka wa baharini?

Jibu: Hapana, wanyama wanaoishi nchikavu na ndani ya maji hawaliwi. Wanyama wanaofaa kuliwa ni wale wanaoishi tu baharini. Kuhusu mamba na nyoka wanaishi nchikavu na ndani ya maji si wenye kuliwa. Wanaegemea zaidi upande wa uharamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (66) http://alfawzan.af.org.sa/node/16524
  • Imechapishwa: 13/08/2017