Nyama katika miji ya Kiislamu ni halali

Swali: Muislamu mwenye kuishi katika nchi hii ni lazima afuatilie namna nyama zinavyochinjwa na kama mchinjaji anaswali au haswali?

Jibu: Nyama zinazochinjwa katika miji ya Kiislamu na kuuzwa katika masoko ya waislamu ni halali. Usifuatilie, usiulize. Huku ni kujikakama.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (32) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20%20-%203-11-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017