Njia za mawasiliano ni mambo yanayoshughulisha

Swali: Una nasaha zozote kuwapa wale ambao wanajishughulisha sana na njia za mawasiliano?

Jibu: Usijishughulishe na njia za mawasiliano. Vinakushughulisha na kazi yako, masomo yako na mambo mengine yenye faida. Achana nazo. Ni mambo yasiyokuwa na faida. Bali ndani yake kuna madhara.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa’ al-Maftuuh fiy Masjid Qubaa’ http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17626
  • Imechapishwa: 27/02/2018